RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema serikali kwa kushirikiana na Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora) wamepanga kufungua vituo 100 vya lugha ya Kiswahili kwenye maeneo mbalimbali duniani. Aidha, ...
Nchi jirani ya Tanzania ilikumbwa na visa vya ugonjwa wa Marburg mnamo mwaka 2023, wakati Uganda ilikumbwa na kesi kama hizo mnamo mwaka 2017. Inatokea sasa hivi ...
Amesema idadi hiyo ni tofauti na ile ya mwaka juzi ambayo ni watu 3,000 pekee. Mbali na hilo, amesema Tanzania kwa sasa inalenga kufungua vituo 100 vya Kiswahili duniani kwa kushirikiana na Watanzania ...
Miongoni mwao ni Jerop Limo kutoka Kenya anayetumia uzoefu wake wa kuishi na Virusi Vya Ukimwi kwa miaka 24 ya umri wake kuhakikisha ulimwengu unakuwa mahali bora kwa watu ambao tayari wanaishi na ...
Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa kutafuta ukweli nchini Sudan, leo Septemba 6 jijini Geneva, Uswisi, wametoa wito wa kuwekwa vikwazo vya silaha kote nchini Sudan kutokana na kukithiri ...
Wakenya wanafuatilia kwa makini namna polisi na upande wa mashtaka wanavyozishughulikia kesi hizi, katika mfumo wa sheria ambapo vitendawili vya baadhi ya kesi za mauaji vimeshindwa kuteguliwa ...
Urusi imesema kuwa vikosi vya Syria vimesitisha operesheni ya kuwasaka waasi mashariki mwa mji wa Aleppo ili kuwezesha raia kuondoka katika eneo hilo la mapigano. Hata hivyo taarifa kutoka maeneo ...