Pia vyuo vikuu mbalimbali vya Bara na Visiwani vilianza kusomesha Kiswahili kuanzia shahada ya kwanza, ya uzamili na uzamivu. Kiswahili ni lugha rasmi nchini Rwanda. Kabla mwaka 1994 , wakati wa ...
''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 60 iliyopita.
Vivumishi vya Kijapani vinanyambulika na kuwa vielezi. Unabadilisha vivumishi vya I ambavyo vinamalizikia na silabi I, kama vile HAYAI (mapema), na kuwa vielezi kwa kubadilisha silabi ya mwisho ya ...
Jukumu la baba katika maisha ya familia inapitia mageuzi, wengi wao kwa sasa wakifanyia kazi nyumbani wakati wa vizuizi vya coronavirus. Kupitia vizuizi hivi, baba wengi wamegundua kuwa wanaweza ...
Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.
Vikao vya bunge la shirikisho vime anza tena baada ya likizo ya mwezi mzima, kwa kiongozi wa upinzani Peter Dutton na waziri mkuu wa zamani Scott Morrison kuzungumzia shutma zilizo tolewa wakati ...
Vipimo hivyo vya ziada ni sharti la China ili kuanza tena uagizaji wa vyakula vya baharini vya Japani Maji yanayotumika kupoza fueli iliyoyeyuka kwenye mtambo huo yamekuwa yakichanganyika na maji ...
*The service is free; however, data communication fees are the responsibility of users. *Apple, the Apple logo, Apple TV, iPhone and iPad are trademarks of Apple Inc ...
Ni uamuzi ulioafikiwa mwishoni mwa juma, na vyama vya upinzani takriban 15 ambavyo vinaamini kuwa maizngirayaliopo hayawezi kuwezesha uchaguzi wa huru na haki kuandaliwa.
Nchi jirani ya Tanzania ilikumbwa na visa vya ugonjwa wa Marburg mnamo mwaka 2023, wakati Uganda ilikumbwa na kesi kama hizo mnamo mwaka 2017. Inatokea sasa hivi ...