Kwa miongo kadhaa Wanawake wa Tanzania waishio Visiwani Zanzibar,wamekuwa wakijiremba mikono na miguu yao kwa hina. Wanapopaka hina mwilini, baada ya muda fulani hufifia lakini kundi moja la ...
Kutokana na furaha aliyoipata baada ya kuumaliza, wakati huo anasema mkeka wa ukindu ulikuwa ukiuzwa shilingi 1500 za Tanzania ambazo ni chini ya dola moja ya Marekani kwa sasa. Mteja wake wa ...