Mbegu ya haraka ... kwa usahihi michakato ya kibiolojia. Pia ni hatua ya kimsingi ya kuboresha matibabu yaliyopo ya kusaidiwa ya uzazi na kutoa nafasi kwa teknolojia mpya.
Wanaume wenye mbegu chache za kiume wako katika hatari ya kupata magonjwa kulingana na utafiti mpya. Utafiti uliofanyiwa wanaume 5.177 ulibaini kwamba wanaume wenye mbegu chache za kiume wana ...
bado hajamtangaza waziri mkuu mpya. Soma pia: Bunge jipya ya Ufaransa kukutana Alhamisi wiki hii Jukumu la kwanza kuu la waziri mkuu ajaye litakuwa kuwasilisha bungeni mpango wa bajeti ya mwaka ujao.
Wizara ya Elimu imetoa kalenda mpya ya masomo iliyofanyiwa marekebisho ya mwaka 2020, 2021,2022 na 2023. Katika taraifa kwa Wakurugenzi wa Elimu kote nchini Katibu wa Wizara ya Elimu Belio Kipsang ...
Hajatamka jina “Baba” wala hajamuona baba yake mzazi tangu kuzaliwa kake. Lakini baada ya umri wake wa sasa, Jeff Ochieng mwenye umri wa miaka 27, akajipata kafanana pakubwa na kiongozi wa ...
lilipotangaza makubaliano ya kufungua mlango wa kutolewa kwa awamu mpya ya msaada wa dola bilioni 1.1. Lakini katika ngazi ya kijeshi, Washington imeonya kuhusu kukabidhiwa na Iran makombora ya ...
Kuchukua hatua na kutochukua hatua kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kumesababisha kushindwa kulindwa kwa raia wa Afrika dhidi ya ghasia na machafuko, hii ni kulingana na ripoti mpya ya ...
Wanasayansi wanaochunguza aina mpya ya kirusi cha Mpox ambacho kimesambaa nje ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanasema kirusi hicho kinabadilika haraka kuliko ilivyodhaniwa. Wanasayansi kadhaa ...
Hata hivyo, ya baadhi ya wanasiasa wenye ushawishi mkubwa katika taifa hilo la Afrika ya Kati, wame sema wata susia uchaguzi huo waki ishtumu tume ya uchaguzi CENI kwa kuto zingatia demokrasia.