Lugha ya Kiswahili inazungumzwa katika nchi za Afrika mashariki. Kiswahili hutumika nchini Tanzania, Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Msumbiji na Rwanda. Zaidi ya watu milioni 15 hutumia ...
Kiswahili kitaanza kufunzwa katika shule nchini Afrika kusini kuanzia mwaka 2020. Waziri wa elimu msingi, Angie Motshekga siku ya Jumatatu amesema kuwa Kiswahili kitafunzwa kama lugha mbadala kwa ...