Labda unakula mara tatu kwa siku. Maisha ya kisasa yamejengewa namna hii ya utaratibu wa kula kwa wengi. Tunaambiwa kwamba kifungua kinywa ni chakula muhimu zaidi cha siku, tunapewa mapumziko ya ...
'Naomba chipsi mayai, nikaangie kuku au leo tutakula ndizi za kukaanga ama samaki wa kukaanga na ugali', haya ndiyo maisha ya wananchi wengi wa Afrika Mashariki yanayohusu vyakula. Vyakula vingi ...